Genesis 29:16

16 aLabani alikuwa na binti wawili, binti mkubwa aliitwa Lea na binti mdogo aliitwa Raheli.
Copyright information for SwhNEN